Recent content by CORAL

  1. CORAL

    KERO Hivi ni sahihi CRDB kukata mkopo wao kwenye pesa ambayo sio mshahara?

    Sio sahihi kama wamekata kabla ya tarehe za mishahara. Lakini tarehe za mishahara zikifika na mshahara haujaingia kwa kawaida system inakata pesa yoyote iliyopo kwenye akaunti kama rejesho la mkopo. Mfano NMB wanakata tarehe 20 ya kila mwezi ili kulipa mkopo hata kama pesa haitoshi mshahara...
  2. CORAL

    Moja ya habari ilionisikitisha sana mwaka huu ni hii

    Ulichosema ni kweli. Kuna kabila moja hapa nchini (sitalitaja) ambapo zamani akifa chifu wakati wa mazishi lazima apatikane mtu wa "kumsindikiza". Yaani mtu anazikwa kaburini pamoja na chifu ila yeye anapaswa kuzikwa akiwa hai. Anakalishwa pembeni mwa maiti ya chifu kisha kaburi linafukiwa. Kuna...
  3. CORAL

    Flagship Soundbars

    Soundbars za Hometech hazina tofauti na subwoofer za Hometech. Ukiangalia hata bei zinaendana. Huwezi kutarajia chochote cha ziada kwenye soundbar ya 250k au 300k. Hizo ni stereo systems za kawaida za kichina. Kama ukinunua utakachopata ni kile tu unachopata kwenye subwoofer za kichina.
  4. CORAL

    Flagship Soundbars

    Sauti inasafiri kwa njia ya mawimbi kama mawimbi ya bahari. Mawimbi hupanda na kushuka kwa hiyo kipimo cha mawimbi Hz inamaanisha ni mara ngapi mawimbi yanajirudia kwa kila sekunde. Kwa hiyo mawimbi ya 100Hz maana yake ni kwamba yanapanda na kushuka mara 100 kwa kila sekunde. Spika za sound...
  5. CORAL

    Connection ya simu za mkopo

    Hivi kuna simu zilizotengenezwa maalum kwa ajili ya kukopesha? Mimi ninachoelewa ni kuwa ni simu za kawaida ni juu yako kuuza cash au kukopesha. Kinachohitajika ni program ya kuzidhibiti ili mkopaji akizingua marejesho simu isifanye kazi mkose wote. Vinginevyo ni simu za kawaida tu unajumua...
  6. CORAL

    Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Hapo chaguo ni simu tu. DSLR kwa picha za passport tu is a waste of money.
  7. CORAL

    Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Mkuu mbona DSRL ni za kiwango cha juu sana, hizo ni za professional photographers na bei yake iko juu. Inaonekana bajeti yake ni ndogo. Kama hawezi kutumia simu basi anunue digital cameras za casual photographers mfano za Nikon, Canon Sony, nk.
  8. CORAL

    Jinsi ya kufungua simu uliyosahau password

    Wezi wa simu watafurahia a sana huu uzi
  9. CORAL

    Jinsi ya Kuepuka Kutapeliwa Online

    Shuhuda za watu sio za kuzitegemea kwa sababu wengine wanatengenezwa na matapeli au ndio matapeli wenyewe. Pili mtu akikushawishi uwekeze kwenye biashara mwombe akutumie kitambulisho cha taifa lake ili uhakiki utambulisho wake. Matapeli hawataki kujulikana. Ukiomba kitambulisho wanakimbia🏃‍➡️
  10. CORAL

    Unazifahamu tv za kichina bei rahisi za GSDA?

    GSDA ni TV nzuri inayopatikana kwa bei nafuu na zinatumia android OS, zinatoa picha nzuri mfano Ultra HD 4K na pia smart models zinasapoti streaming services kama Netflix and YouTube, nk. Pia wireless connectivity kama Bluetooth, WiFi. Hata hivyo linapokuja suala la durability na premium...
  11. CORAL

    Wireless earphones zenye bass.

    Sio rahisi kupata brands hizo kwa bajeti aliyo nayo.
  12. CORAL

    Msaada wa Kitaalamu

    Kuna solution ya kusafishia DVD kwa kutumia sponge waliokuwekea. Jaribu kuisafisha huenda ni alama za vidole au uchafu mwingine. Lakini unaweza pia kutumia kitambaa safi chenye unyevu ikiwa ni njia ya kienyeji kidogo lakini muda mwingine inafanya kazi. Ila kama hiyo disc imekaa sana na kuna...
  13. CORAL

    NIMEUNGUZA CARD YA SPIKA YA SUNDA

    Ni lugha za biashara hizo. Spika hii haiwezi kufikia hata 5000W sembuse 80,000W hata peak power haiwezi kufika huko.
  14. CORAL

    Msaada jinsi ya kurudisha akaunti ya Facebook iliyodukuliwa

    Hata mimi yalinikuta. Kabadilisha hadi email hata ukijaribu kureset wanatuma code kwenye email ya kwao sio yangu sasa unarudisha vipi hiyo account? Hiyo imeenda. Nilichofanya ni kufungua mpya na kuwaonya watu kuwa hizo message za pesa zinatoka kwa wezi sio zangu basi.
Back
Top Bottom