Recent content by coplicator

  1. C

    JamiiForums Tanzania Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania

    That sovereighnity is the devil's hiden secret ...you kill people intentionally because of political interest not otherwise! I know this letter is nothing to you until your stiff neck is broken!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Lissu usirudi kwanza mpaka msiba uishe na ni busara pia mkutano mkuu wa CHADEMA uhailishwe

    Yaani Mungu ni mkubwa kwakweli...Lisu anakuja wakati ambao master planer wa tukio sio gavana tena wa kipande cha dasalama! Wamepigwa upofu kama wale washenzi wa sodoma na gomola.karibu home kipenzi cha watanzania!
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe ndiye atakayesababisha CCM waingie Ikulu kiulaini 2020

    Na hapo ndio ule usemi wa malipo ni hapa hapa duniani unakujaga!
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Meneja Tehama Clouds Media achukua fomu CHADEMA kuwania Udiwani

    Na wanaochukua fomu kupitia chadema mwaka huu ni wapinzani wakweli kabisa waangaliwe kwa mtazamo wa kimapinduzi...sio huo utitili njaa wa ccm ...lao ni kutaka magufuli awaibie kura tu,ebooooo!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wingi wa watia nia ya Ubunge, nini kilicho nyuma ya pazia?

    Sisi tukiingia madaramani kitu cha mwanza mbunge lazima awe na taaluma flani....haiwezekani tupeleke mipasho bungeni halafu tutegemee kuwa na katiba imara inayolinda maslahi ya taifa...emu wakasome huko ebooo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma

    Hata angejenga barabara kuelekea mbinguni kama hajali maisha ya watu kwa upatikanaji wa ajira, madawa hospitalini,masoko ya mazao nk tutamnyima kura tuu!
Back
Top Bottom