Recent content by Copenhagen tz

  1. Copenhagen tz

    My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Punguza mihemko kidogo yote uliyoongea yanawezekana huwezi jua! pia niko kwenye ukurasa mpya wa maisha ndugu worry out
  2. Copenhagen tz

    My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Yaani muda mwingine I don't know what happened siku ile,, asante lakini
  3. Copenhagen tz

    My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Mkuu wenzetu hata kama ni billionaire hawataki house wife lazima ufanye kazi na u contribute na mfanye serving wote,, hata kama nikidogo lakini lazima uwepo ndani ya system
  4. Copenhagen tz

    My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    [emoji23][emoji23] 0713 hell no,, NYW thanks for the advice
  5. Copenhagen tz

    Will you marry a jobless man? Toa maoni yako

    Hapana,,,, lakini akipoteza kazi nikiwa naye na akaonyesha bidii ya kujishughulisha hapa na pale kutafuta kazi au kujishughulisha na chochote I won't leave him for sure
  6. Copenhagen tz

    Wanawake wa JF tukutane hapa

    Akii nimecheka mpaka naskia kukojoa unamisemo mwanamke [emoji23] [emoji23] [emoji23] wachane tuu wamezidi
  7. Copenhagen tz

    My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Anachukia mno ukimuuliza unapata majibu ya mwendo kasi I don't want to talk about this mara I hate such qn, Yaani hapendi kuongea mambo ya past at all
  8. Copenhagen tz

    My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Makabila tofauti kabisa japo wote kaskazini,,, hatuskilizani pia me sijui kuongea vizuri japo Naelewa
Back
Top Bottom