Hey there... My name is Kevin, iv seen many of your posts and be amazed by how you are dedicated to cisco certs... I am a ccna(studing my ccnp saivi) na nina wazo lakuunganisha watu wanaosoma na waliotoboa kikazi kupeanda ushauri na ushirikiano....kama utakua interested plz nicheki whatsapp...

Kwanini usiendelee na CCNP? mimi nina ccna lakini nimeona nisianzee kutafuta kazi kwanza maana sita pata kazi yenye hela ninayo taka... Niko kwenye safari ya CCIE maana hiyo ina hela nzuri sana ndani na nje ya nchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.