Recent content by Cool

  1. Cool

    Wazabuni wa Taasisi za Serikali tunapata tabu sana kulipwa madai yetu

    mimi nimedai mwaka wa 6 huu nimeamua kuacha tu. Serikali imenidhulumu sana.
  2. Cool

    Tanganyika iko mnadani?

    Hivi na hapa viwanja vya Biafra Kinondoni panajengwa nini? Naona wameshazunguushia mabati. Mwenye taarifa atujuze
  3. Cool

    Afya ya Akili: Chanzo, viashiria na jinsi ya kukabilina nayo

    hivi Therapist wao huwa hawapati tatizo la afya ya akili? kwa maana wanajua solution
  4. Cool

    Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

    Hivi umeshawahi kusafiri kwa gari speed ya 160km/saa, kigonga kitu kizito na kusimama ghafula, wote mliomo ndani mtatokea kioo Cha mbele. Sasa dunia inasafiri zaidi ya km 100,000/saa. Fikiria ikipiga break ghafula. Kila mtu atapaa Kuelekea nje ya dunia
  5. Cool

    Kwa vyakula vya aina hii, walevi ni wa kuhurumiwa

    Hahahah hii hata Mimi nimewahi shuhudia mtu anakojolea sinki la kunawia
  6. Cool

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    SURE, Huyu jamaa nature yake, haogopi watu wala vitisho. Tunahitaji mtu wa namna hii kwa sasa. Ujinga ujinga na utapeli vimezidi nchi hii. Uzembe mwingi sana
  7. Cool

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Makonda anafaa ANGALAU kwa sasa kuingoza nchi hii kuliko wasomi wengine wanabweteka tu. Kwa hali ilivyo nchini tunamuhitaji Makonda au Majaliwa,
  8. Cool

    Abiria wagoma kushuka kwenye kituo cha mabasi cha Magufuli, Mbezi Louis

    Ujinga kama huu wa maamuzi ya hovyo nimeukuta Ruvuma na Iringa. Yaani watu mnalazimishwa kushuka Stendi halafu stendi yenyewe ipo mbali na mji, hali basi linaekea mjini. Hawa jamaa maamuzi yao huwa ya ajabu sana.
  9. Cool

    Vituo vya mafuta katikati ya mji na makazi ya watu Dar: Bomu linalosubiri maafa makubwa

    Nilijaribu kuvihesabu nilishindwa nikaishia 11 maana kila siku vinaongezeka. Kufikia mwakani vitazidi 15 nahisi
  10. Cool

    Vituo vya mafuta katikati ya mji na makazi ya watu Dar: Bomu linalosubiri maafa makubwa

    Njia ya Mbezi beach to Mbezi mwisho kupitia Goba ni balaa. Naona wawekezaji wameamua
  11. Cool

    Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    Du! Hata Mimi hii kitu ilinitesa. Kumbe wengi waliumwa mtindo huu
  12. Cool

    Zoezi la urasimishaji Iringa lina upigaji pesa

    Hivi karibuni Mh. Waziri Lukuvi ameagiza gharama za urasimishaji zisizidi Tzs.150,000 nchini kote. Ila Manispaa ya Iringa bado wanatoza Tzs.250,000 kwa sqm 400. Nimeona mama mmoja mnyonge ameshindwa kabisa kutoa hiyo hela. Swali langu ni kwamba hivi ni upigaji au ndo gharama zimebadilika...
  13. Cool

    Ulishawahi kuugua tumbo ukiwa safarini?

    Daa! Zabibu ndo balaa! nilikula zabibu Dom, baada ya hapo niwaomba wanishushe mlandizi nikate gogo. Niliona hata bar ipo mbali wakati ipo tu barabarani. Mtu ukisafiri ni bora ule biscuits tu au ule vyakula ulivyovizoea
  14. Cool

    Ulishawahi kuugua tumbo ukiwa safarini?

    du, usiombe yakukute. Nimetokea zangu Moshi, baadaya la kula chakula tu pale Mombo tumbo likanishika. Nilijikaza mpaka nikatoaka jasho baada ya hapo nikamwita binti(konda) asimamishe nikaharishe porini. Ile wamesimamisha tu basi nichimbe dawa; kumbe sikuwa peke yangu, watu aliingia vichakani...
  15. Cool

    Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    Du! hiyo kali. Tumewahi panda Basi la MASIA kutoka DAR-MBEYA,Iringa tuliingia saa sita kasoro.
Back
Top Bottom