unalosema ni la kweli, kwa maana hiyo kwa sababu hadi sasa hatuna katiba/sheria inayopinga ushoga, inamaana kila mwananchi anahaki ya endapo atataka kuwa shoga au la. Alafu tambua tu kuwa ni maneno na porojo zinazungumzwa kuhusiana na ushoga, kwa mtazamo wangu naona mashoga wapo nchini kwetu. na...
Ndiyo siasa zimekatazwa, lakini wenye haki ya kuziendesha mashulen ni sisi sisiem, kwani huelewi bro!!! hii ndiyo nchi yetu ya utawala wenye maamuzi yenye sub standards.keep
Unajua linalozungumzwa katika thread hii lina asilimia nyingi za ukweli ndani yake. Mchangiaji anayeingiza mada ya KINANA AZIDI KUWACHARAZA MBOKO ZA MGONGO HUKO MOROGORO , kwa mtu mwenye kufikiria vizuri utagundua ni mmoja kati ya waliotajwa katika thread hii, kwani hatofautiani kabisa na mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.