mi nasikiaga ukiona msichana anapiga kelele ujue mwanaume wake nanihi ni fupi..! ila kama ni ndefu kiasi cha kutosha husikii kelele kwa maana ya sauti, ila ukimuangalia usoni unaona anavyojisikia..! I wish ninge-demonstrate ninachosema!
tuwe wavumilivu jamani.. dhiki inaposhamiri maana yake faraja imekaribia! historia ina sifa ya kujirudia, na sijakata tamaa kuwa ipo siku itajirudia kwetu tanzania kupata raisi aina ya nyerere tena. hofu yangu ni kwamba kihistoria kama ilivyotokeaga kwa mwalimu, mapambano lazima!!
Tatizo ni kwamba uki-post kitu, au kuchangia kitu kwenye mijadala ya udini unajikuta kwa kukusudia au kwa kutokusudia (automatically) unachangia kuchochea vita hii nchini..! people should really think twice before going on with this discussion. hali sio nzuri, ila kuendelea kujadili haya mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.