Recent content by CONTINENTAL_GROUP

  1. CONTINENTAL_GROUP

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata viroba vya kilo mia na mia hamsini vya kubebea nafaka?

    Naomba mawasiliano yako
  2. CONTINENTAL_GROUP

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kuprint viroba

    Mkuu mimi naweza kupata mifuko ya 25kg ambayo imetumika au iko rejected
  3. CONTINENTAL_GROUP

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya viroba inahitajika

    Unayo mkuu ,na mimi naulizia ya 25kg used au rejected kiwandani kama ile ya unga ya azam/azania
  4. CONTINENTAL_GROUP

    JamiiForums Tanzania Position Strategy for Nonprofit in Fundraising

    Aandike kwa kiswahili
  5. CONTINENTAL_GROUP

    JamiiForums Tanzania Kosa gani unalijutia hadi leo?

    Kutokufahamu mapema maana halisi ya watu.
  6. CONTINENTAL_GROUP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nauachaje huu mchepuko?

    Anza upya,ushamaliza tamaa uliyoikimbilia ,Mwachie nyumba 1 na gari,au muuze mgawane lakini kuuza na kugawana ni ushamba Kama unajiamini katika uanaume wako na utafutaji rudisha majeshi kwa mkeo mtafute mali za pamoja.Amini nakuambia mali hizo hazina baraka ukienda kuzitumia na mkeo
  7. CONTINENTAL_GROUP

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mkufunzi wa kunifundisha kutengeza sabuni za maji

    Habari wana JF Mbele yenu hapa ni vijana wajasiriamali wa CONTINENTAL GROUP... Tunawaletea bidhaa bora kabisa ya sabuni ya maji Ina harufu mbili (lemon & rose) Inapatikana katika ujazo wa 250mls Bei:Jumla 1dozen =20,000 (more than 6 dozen) 24000 kwa 1dozen (less than 6 dozen) :Tunapatikana...
Back
Top Bottom