Recent content by concious mind

  1. concious mind

    Tetesi: Timu 5 za ligi kuu NBC PL kugomea mechi zilizobaki hadi TPLB watakapojibu madai yao kuhusu hujuma waamuzi

    Kama kuna mdhamini ataendelea kudhamini timu 8 tutegemee mengi zaidi.
  2. concious mind

    Tusikilizane Wanasimba wenzangu

    Kwa hiyo ukilia ndo hela itarudi? Jadili hoja na sio mtoa hoja. Unaweza ukawa na akili hoja isiwe na mashiko.
  3. concious mind

    Tusikilizane Wanasimba wenzangu

    Bora Simba imeepuka aibu ya kufungwa kwa Mkapa. Hata ikifungwa inakisingizio.
  4. concious mind

    CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

    Popote pale lazima wajutie kutfunga goli la tatu.
  5. concious mind

    Takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Final kombe la Shirikisho

    Wako vizuri mechi 10 goli mbili, ni noma.
  6. concious mind

    Yanga kelele nyingi, Simba wana nguvu, wamemtoa Kayoko kwenye mfumo, wamemtoa meneja wa uwanja aliyewazuia wasifanye mazoezi

    Hapa umemaliza kila kitu, ikiwa GSM ataendelea kuzamini timu kibao sioni kama kuna fairness yoyote, Simba wafanye juu chini wabebe ubingwa.
  7. concious mind

    Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice Reporters wa Crown, Nassib Mkomwa

    Kwa wapenda maendeleo ya soka la Tanzania, mwaka huu ni kuungana na Yanga wagomee mechi washushwe daraja, mwakani ni kuwa vizia Simba wakizingua tu na wenyewe washushwe daraja tuanze upya.
  8. concious mind

    Mashabiki wa mikoani sapotini timu zenu na punguzeni unyonge na kuwa vibaraka wa timu kubwa

    Akili kubwa sana ila kwa bongo hatua ya kwanza ni kuziua Simba na Yanga tuanze upya.
  9. concious mind

    Maoni Yangu na Kinachoendelea Kwa Sasa

    Iondolewe huo udhamini wa kubebana then ndo tuje tuongee hapa, vinginevyo Simba abebe tu ubingwa hata kwa penati kila mechi.
  10. concious mind

    Timu zetu ndogo za NBC Ligi haya yanayoendelea mnajitakia wenyewe

    Umemaliza kila kitu, zaidi ya hapa tuendelee na lawama na lawama. Magoli 58 ya mzunguko wa kwanza wa ligi, magoli 50 yanga alifunga hao ndugu zake.
Back
Top Bottom