Recent content by comradempandilah

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nmb sasa nimwendo kwa kidigital

    Saizi wapo vizuri saana nilijionea kwa macho yangu mikakati yao Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nmb sasa nimwendo kwa kidigital

    NMB BANK PLC LEO Namshukuru Mungu siku ya leo nimeshiriki shughuli ya uzinduzi wa huduma mpya tatu za bank yetu pendwa Nmb bank Plc katika ukumbi wa Hyatt Regency Dar es salaam,The Kilimanjaro -Kibo ballroom tukiongozwa na Mgeni rasim Naibu GAVANA wa BOT Bidhaa hizo ambazo zinaipeleka bank...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Maisha na mafanikio

    Hakika tupo pamoja
  4. C

    JamiiForums Tanzania Maisha na mafanikio

    Kwa uzoefu wangu mdogo ni kwamba, (a) hakuna hela za rahisi (b) hakuna mafanikio wala utajiri wa chapchap. Ninachokijua ni kwamba ili upate hela, ili ufanikiwe ni lazima (1) ujifunze kwa bidii (2) ufanye kazi kwa bidii. There is no shortcut! Mlango wowote unaotokea mbele yako unaoonesha kuwa:-...
Back
Top Bottom