Uchaguzi ni mahesabu na hizo hesabu ndiyo ushindi wa Chama chochote kwenye uchaguzi. Hesabu na namba hazidanganyi. Kwa mujibu wa Taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jumla ya Watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura ni 29,188,347 ambao hawa wataweza kupiga kura siku ya Jumatano Oktoba...
WAPINZANI WA TANZANIA WANATAKA NINI TENA?
Miaka ya 2010 kuelekea 2015 vyama vya upinzani vilipata nguvu kubwa sana ya kuungwa mkono mno na wananchi hasa kwa ajenda zao kubwa zilizowavutia sana Watanzania zilizobeba adhima ya kukemea vitendo vya ufisadi, rushwa, uzembe serikalini, matumizi...
MITANO TENA RAIS MAGUFULI ANAPOMUENZI KWA VITENDO MWALIMU NYERERE
Watanzania tunaadhimisha miaka 21 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tukiwa na sura yenye matumaini baada ya kufanikiwa kumpata kiongozi anayemuenzi vyema kwa matendo Mwalimu Nyerere.
Naam...
Huyo anaeleta ubaguzi kua eti mwinyi sio mzanzibar endele kujijaza ujinga.Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya pili Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi alikua sio mzanzibar?? sio aliemzaa Dr.Mwinyi acheni siasa za maji taka.
Nimependa hapo kua sera ningi za wapinzani ni vichekesho tupu hiyo ni kweli kabisa yani ukiwasikiliza wapinzani wa nchi hii unaweza ukacheka sana yani hakuna sera hata moja wanayo itangaza tofauti na kuangalia magufuli kakosea wapi ndo wanapata cha kuongea kwenye kampeni zao sasa unajiuliza hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.