Recent content by ComputersDAR

  1. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza ECU YA BMW N46

  2. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza ECU YA BMW N46

    Bado inauzwa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kinondoni; Matumizi 4 Ya Vibali Vya Ujenzi Kwenye Uwekezaji Ardhi Na Majengo

    Ni utaratibu gani unatakiwa kufuatwa na Manispaa pale ambapo mhusika amegundulika kuwa ameanza ujenzi wa nyumba ya makazi ya kawaida isiyo ghorofa kwenye kiwanja chake halali kisicho na mgogoro wowote lakini bila ya kuwa na kibali cha ujenzi kuoka manispaa. Jee, ni sawa kama mtu ameanza ujenzi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Kupigwa ni lazima. Hizi mbinu nyingi wanatumia haswa kwa wanaofanya ujenzi kwa mara ya kwanza. Usikubali kufanya manunuzi maduka anayoshauri fundi. Lakini umakini mkubwa unahitajika kwenye manunuzi ya vifaa vya umeme. Hapa ndiyo unapigwa vibaya. Mimi nililetewa Main Switch ya laki 3 wakati...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Manispaa Kulipishwa Faini ya Kujenga Bila Kibali

    Naunga mkono hoja.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Manispaa Kulipishwa Faini ya Kujenga Bila Kibali

    Hizi Municipal Bylaws wanazotumia Manispaa nimetafuta sana sijaona wameweka utaratibu/mwongozo wa kulipa faini ya 2%.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Manispaa Kulipishwa Faini ya Kujenga Bila Kibali

    Wameangalia satellite image kwenye mfumo wao wakaona kiwanja kina mjengo
  8. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Manispaa Kulipishwa Faini ya Kujenga Bila Kibali

    Wakuu heshima kwenu Nahitaji msaada kuhusu utaratibu wa Manispaa pale ambapo mhusika amegundulika kuwa ameanza ujenzi wa nyumba ya makazi ya kawaida isiyo ghorofa kwenye kiwanja chake halali kisicho na mgogoro wowote lakini bila ya kuwa na kibali cha ujenzi kuoka manispaa. Jee, ni sawa kama...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Manispaa Hadi Kulipishwa Faini ya Kujenga Bila Kibali

    Wakuu heshima kwenu Nahitaji msaada kuhusu utaratibu wa Manispaa pale ambapo mhusika amegundulika kuwa ameanza ujenzi wa nyumba ya makazi ya kawaida isiyo ghorofa kwenye kiwanja chake halali kisicho na mgogoro wowote lakini bila ya kuwa na kibali cha ujenzi kuoka manispaa. Jee, ni sawa kama...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata huduma ya TV screen bonding?

    Asante sana mkuu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata huduma ya TV screen bonding?

    Habari zenu wakuu Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu. Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho. Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata huduma hii kwa Dar es Salaam, na gharama yake ni kiasi gani? Natanguliza shukrani.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu Akuzamu International Church

    Aisee? Mbona kwenye video na picha mitandao ya kijamii ni watu wa kawaida tu? Vijana wengi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu Akuzamu International Church

    Nimeona insta account ya hilo kanisa Mchungaji anaitwa Edward Amiri. Huyu jamaa ana professional background gani? Kwahiyo wengi kama nimeelewa hoja zenu vizuri ni kwamba hili kanisa limekaa kibiashara/kitapeli zaidi?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu Akuzamu International Church

    Muhimu kujua kabla
  15. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu Akuzamu International Church

    Okay. Sipo huko mkuu
Back
Top Bottom