Naongezea kidogo, ili kupata kazi kwa urahisi kupitia linkedin hakikisha ume-verify account yako.
Kwa passport ya kusafiria inatosha kabisa (kuverify ni BURE), ukishaverify content yoyote utakayopost itawafikia watu wengi zaidi.
Kingine jiunge ma-group ya watu ambao mna interest moja eg...
Fursa ziko mbili;
1. Kujiajiri
Hapa utakuwa freelancer unauza ujuzi wako kwenye masoko ya ndani na nje(fiverr, upwork, Guru n.k) kama kina Mafole n.k
2. Kuajiriwa
Katika hizo branch 5 unaweza kuajiriwa hapa nchini au nje. Changamoto ya soko la ndani ni wateja wengi hawajui wanataka nini,
Anza...
Digital marketing ni kazi inayohusisha kutafuta masoko ya bidhaa au huduma kupitia "digital channels".
Tofauti yake na traditional marketing ni kwamba ,traditional marketing inatumia traditional methods kama radio, Tv, mabango n.k.
Faida kubwa ya digital marketing ni specifity na data analysis...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.