i
nategemea na aliyekuhudumia
lakini ni hizo hizo, kila mmoja anazo zake anazohudumia…siyo kwamba ni mtu mmoja, hata wewe unaweza nunua ya kwako ukaanza pangisha, huduma unayotoa itategemea na mipango yako.
Ipo, ni nyumba ya kitanda kimoja na sitting room complete, kitanda chake na sitting room inaweza beba mpaka watu 4 kwa mpigo….ni nyie maamuzi yenu tu mkitaka kupunguza gharama.
free breakfast
Inakosa tu jiko
bei ni 150,000/= per night.
Ziko nyumba za aina tatu
1. Vyumba vitatu vya kulala, Vitanda vinne, wash room 2, sebule full furniture, free wifi, jiko kubwa lenye vifaa vyote, free parking, AC na balcony.- 250,000/= per night.
Hii inaweza kuchukua mpaka watu 8 kutegemea na mtakavyoona nyie mnakua huru.
2. Vyumba viwili...
Karibu Zanzibar! 🌴✨
Tunafurahi kukukaribisha kwenye nyumba yetu ya kupendeza iliyo karibu na pwani safi na mandhari ya kuvutia. Nyumba hii ina huduma zote muhimu kwa mapumziko yako ya kipekee – WiFi ya kasi, kiyoyozi, na mazingira tulivu.
Tupo tayari kukusaidia kwa chochote unachohitaji ili...
kwa sababu hoja ni kuzuia ajali basi wataalamu wanaangalia solution rahisi kwa vigezo vingi…kwa hili la ajali solution ni miundombinu rafiki ya barabara,kufuata sheria (hakutumii hata mia), kutumia vyombo vya usafiri salama ,kuwa na watu wasio na msongo wa mawazo(uchumi)
zipo nchi ambazo ajali...
wazo linatekelezeka tgeoretically lakini ukija practically inakua ngumu kwa sababu kadhaa
moja,kwenye list ya forces magnetusm inaangukia kwenye fundamental forces ambazo ukitooa nuckear forces za ndani ya atommbili zinazobaki(weight na electromagnetism) ni weak sana ukilinganisha na force...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kugundua kwamba miezi miwili sasa imepita bila kuwa na mwendekezo mzuri wa kuonyesha mechi za ligi kuu ya nbc,ndani ya mwezi unaangalia game mbili au tatu halafu unatakiwa kulipia tena.
Kwa mfano weekend hii iliyoisha kulikua na shida gani mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.