Maelezo yake kama yalivyo:
Nilikuwa nafanya kazi kwenye shirika moja la umma hapa nchini.
Kulitokea tukio la wizi mm na wenzangu tukakamatwa na kupelekwa mahakamani, kesi ile imeunguruma na hatimaye tumeishinda jamhuri kwa mahakama kutuona hatuna hatia.
Kwa upande wa kazini tulikuwa...
Kuna rafiki yangu alikuwa anafanya kazi kiwandani sasa ukatokea wizi fulani yeye na wenzake walipelekwa mahakamani na kusimamishwa kazi hapo hapo lkn waliendelea kulipwa mishahara.
Sasa kesi iliyoko mahakamani wameshinda na mahakama imesema hawana hatia je kwa wajuvi wa sheria nini kinafuata...
Mleta mada una visa na Yahya mimi sioni kosa alilolifanya wote tulikuwa tunaangalia usidhani una tv peke yako tu.
Alichokuwa anakifanya Yahya alikuwa anachombeza na alikuwa akimpa muda mwingi tu Heche kuongea anayoyajua.
Mleta mada upo sawa kabisa nilikuwepo juzi jumamosi kwenye uchaguzi kitongoji cha mrusi pale stand mpya kasulu mjini watu walikuwa wamejitenga waislam pembeni na wakrsito pembeni maka mm nikawa sielewi.
Baada ya taarifa ya habari TBC walieusha marudio ya hotuba ya Jk. Wakati hotuba inaendelea mm nilikuwa kibarazani kwangu nimetulia na rafiki yangu ambaye ni mwanajeshi wa jeshi la Polisi.
Ni wakati sasa Kikwete anazungumzia ishu ya udini ghafla rafiki yangu akasimama na kung'aka eti yaani...
Hapana mkuu fools day kwa ishu serious kama hizi huwa mwisho ni saa nne asbh hii ametangaza Nchimbi hazarani na imerushwa taarifa ya habari saa mbili usiku. Sasa mm sielewi huku wengine wanazika wengine wanapiga baga na pizza ikulu.
Yaani Kikwete anaita watu Ikulu tena JKT watu waliokuwa wanafanya kazi kama sehemu ya wajibu wao, hii ni kebehi kubwa kwa watu walipoteza ndugu zao na hasara mbalimbali kt dhahama hiyo iliyosababishwa na uzembe wa serikali.
Nilitegemea Jk hizo hela atoe rambirambi na hao watu awalipe night...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.