Dogo hujui historia ya Israel na Jordan. Mfalme wa zamani wa Jordan aliwahi kumpa taarifa ya siri Israel kuhusu mashambulizi ya Misiri nchini Israel........ Kasome historia kwanza kijana
Tupo pamoja kabisa. Nikiwa kidato cha tano niliandika kitabu changu "Elimu ni kufuri la maisha, pesa ni ufunguo wa maisha" kwa sababu ya hii system mbovu. Nimehitimu kidato cha sita mwaka jana nikafahuru vizuri tu, lakini nimeamua kuacha shule, napigana kuondoka tz kwenda kusoma huko kwingine...
Unaposikia “mwani,” unaweza kufikiria chakula cha Kiasia au kitu kichafu ufukweni. Lakini mwani ni shujaa wa siri wa bahari—na wa sayari pia. Hii hapa faida moja isiyojulikana kabisa.
2/
Mwanii unaweza kufyonza hewa ya ukaa (CO₂) kwa ufanisi mara 5 zaidi ya mimea ya nchi kavu.
Mashamba ya mwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.