Tatizo ni kwamba hata katika vipindi vilivyopita posho zilikuwepo kisheria lakini ikajaonekana kuwa watumishi walipaswa kutumikia mishahara yao hali ilyopelekea posho za vikao muda wa kazi kuondolewa. Tatizo hapa watuwanajiuliza malipo haya tena toka watendaji wa hazina inamaanisha nini? mashaka...
kama kupitia hata mziki ameshindwa kusema ukweli sasa ukweli atausemea wapi? he proclaimed to be activist through his music where his activism know? late bush marley aliwahi sumbuliwa sana na utawala wa jamaica kipindi hicho adi kufikia hatua yakutaka kuuwawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwake...
Yaani hapa kwenye u mimi umemwona Nape2 haupo serious. Mkulu unamwona yuko sawa!...... Hao wote unaowasema kuwa pamoja na michango yao ya Maendeleo hawajawi semi ni mimi jibu ni raisi sana, hawajawahi onyeshewa mtutu wa bunduki na mpuuzi kama yule aliyemuoneshea nape kwaio hawakuwa na...
Naona umeamua kuchagua upande wa kutetea, mbaya zaidi kila lililofanywa na upande ulioamua kuushabikia according 2ur hypothesis ni sahivi, ila kila aliyejaribu kukosoa usanii uliokuwa ukiendelea according 2u hayuko sahihi. Ila kumbuka hii nchi ni yetu sote ukweli utaendelea kuwa ukweli2...
Anayetakiwa kuonesha vyeti ni yule anayetuhumiwa elimu yake ili aondoe wingu lililotanda, kuendelea kukaa kimya haisaidii zaidi anapoteza credibility kutoka kwa wa tz.
mbona gwajima alihusishwa na unga naakaenda central wakajiridhisha akaachiwa sasa mtu kuonesha vyetu nalo ni tatizo? hakuna usiri hapa maana hakusoma shule peke yake ugumu uko wapi. Hali hii inaendelea kutilia shaka sana elimu yake.
Haina haja ya kuhangaika kumsemea, kama vyeti vipo na yeye kama kiongozi ndiye anayetuhumiwa nikuita press kuonesha vyeti na kuwasihi wananchi kuaachana na uzushi wa mitandaoni. Lasivyo kuendelea kukaa kimya ligitimacy yake ya uongozi anapoteza 2mwamini nani sasa
wewe unayoyaongea umeyafanyia research? kuwa..........lazima ataishiwa nguvu au atataka hata supplier wake amletee mahabusu ndo wamkamate!
Mkojo au Damu kukutwa na particle yoyote ni suala lingine, nakuthibitisha unatumia hiyo particle ni suala lingine pia.
Kampuni ni legal entity it can be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.