kaka upo sawa kabisa.kinachotakiwa sasa ni kuzipinga hizi propaganda hasa za kidini sio nzuri kwa ustawi wa taifa letu.vita ya dini haiamuliki kirahisi wadau,chagua diwani,mbunge,au raisi kwa kuangalia sera na itikadi za chama chake hayo mengine yaishie hukohuko makanisani na misikitini.
Ni kweli kaka hata mimi huku niliko (korogwe vijijini,kijiji cha mashewa)kuna mdau mmoja alijitolea kulipia luku ya umeme kwenye zahanati ya hapa kijijini,lakini diwani alipojua tu kuwa mdau ni mwana chadema diwani alikwenda kuwapiga mkwara manesi,hatimae jamaa akazuiwa asinunue umeme kwa ajili...
yote uliyoeleza kwenye bandiko lako ni kwamba ukiwa binadamu mzalendo mpenda maendeleo, unatakiwa uliondoe kwanza boriti lililo ndani ya jicho lako ndipo ukaondoe kibanzi kilichopo kwenye jicho la nduguyo.zipo wapi ahadi ambazo hazikutekelezeka mpaka leo ninavyoandika ambazo tuliahidiwa za...
Kwa kweli hali halisi ndivyo ilivyo huku kitaa.kwa kweli mleta mada kwa mtu anae kutusi,kukukejeli,kukudharau na n.k mimi naona kama haishi maisha ya Tanzania tuijuayo sanasana huku vijijini.jamani CCM acheni mzaha watu wanaumbuka huku vijijin maji shida,zahanati hazina matabibu,shule wanafunzi...
Acha ujangili wa kisiasa wewe na usilazimishe watu wajitenge kwa itikadi za kikabila,kidini na kikanda.ulaaniwe wewe na kizazi chako,mwenzio akipiga hatua kimaendeleo usimwonee wivu bali jaribu kuomba ushauri kwake na akupe siri ya mafanikio.yani wewe umekaa kuwaponda tu watu wa kaskazini kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.