Huyo hawezi kamwe kukiri udhaifu wake manake ana tabia ya kucheka mwanzo wa mwaka hadi mwisho Wa mwaka! Sasa hata maamuzi ya busara atayafanya vipi??????
Kabla hujaccoment kitu hebu shirikisha ubongo wako kwanza! Maana ni afadhali kukaa kimya kuliko kutoa mawazo ya kipuuzi na kibaguzi ukazidi kudhihirisha upumbavu wako
There is no need to discuss about someone's personal issues! Masuala ya Mbowe ni ya Mbowe! Na ya chama ni ya chama! Chadema huwa tunaamini ktk kusimamia kile tunachokiamini! Zitto anastahili kuadhibiwa kwa alichokifanya! Alishaonywa zaidi ya Mara nne hadi kufikia kukalishwa na wazee wanne wa...
Hivi kweli wewe ni MTanzania au? Ina maana hujui Sera ya chadema hadi sasa? Sasa wewe kwenye siasa unafanya nini! Nenda ccm huko ndo hawaelewi wanakoelekea!
Sasa naona ni bora hata wale waliokuwepo kuliko hawa maana mmmh! Inatia mashaka uwezo wa huyu Jamaa wa kufikiri. Ni sawa na kutoa maleria ukaingiza ukimwi kwa mgonjwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.