Victoire a heroine??mmh...labda kwa extremist genocidaire wenzake kwa kuwa amefanikiwa kuwashawishi kueneza chuki...huyu mama ni katili na roho mbaya sana...mwanamke amejaa chuki dhidi ya Tutsi...hafai
FDLR a "non-aggressive people"?? jMali please!! You don't seriously believe this nonsense. Kawaulize wakazi wa mashariki ya Congo wakwambie "ukarimu" wa FDLR. Hawa jamaa ni nduli na makatili wa hali ya juu, hawana dini. The deadline has passed na bado hawataki kulaza silaha chini. Wamesurrender...
FDLR will be crushed like the little pussies they are. Majority ya hutu refugees want to go home and build their country ila wanashikwa mateka na wahusika wa mauaji ya kimbari ya Tutsi. As Madame Louise was once quoted "FDLR is not a political movement, they are a bunch of thugs". Sawa sawa...
FDLR lazima wapigwe. Hawa wakina Zuma waache unafiki kutaka kuwatetea wauaji hawa. Nimependezwa na msimamo wa Dos Santos kukataa mapendekezo ya kihayawani ya Zuma kutaka special seating ya SADC kujadili suala la FDLR. Mbona walipowashambulia wapiganaji wa M23 hakukuitwa special seating? Ukweli...
Ndugu KakaKiiza tuliza mpira ndugu yangu.
Mbona hujibu matusi aliyonitukana kaka yako hapo?
Yaani ka-utani ka kumuita "flat nosed" ndio imeshakuwa taabu?
Kama na mimi ninayo flat nose unajuaje?
Huyo jamaa ana pua stretching from temple to temple (you can actually see inside his nose) kwi...
Jamani mimi ni m-Tanzania halisi tena mwanachama hai na mtiifu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kuniita msaliti ni kosa na dhambi kubwa dhidi yangu.
Mnitake radhi kaka yenu.
Mkuu yes and no. Yes, there are hardline Tutsi in Rwanda but no si kweli kuwa wahutu waliopoteza maisha ni wengi kuliko the 800,000+ tutsi butchered in the genocide against the tutsi. Kagame has purged the government, military and PRF of most hardliners kwa kuwa hawaendani na sera ya umoja wa...
Ndugu Kivukoni naona umetumia maneno makali sana kufikisha ujumbe kwa hadhira.
Nakuomba usitumie jazba kujibu hoja kwa kuwa haya mambo hayataki msuli. JF ni jukwaa la waelewa na wasomi.
Tumia hekima kujadili masuala na si kukimbilia kwenye matusi.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "afadhali ya...
Sichukii u-Tanzania wangu ila nasikitishwa na baadhi ya watendaji wakuu wa serikali kama Membe kuunga mkono kwa wahalifu wauaji wa FDLR.
Sioni ni kwanini hela za walipa kodi na maisha ya watanzania wenzangu yapotee kwa kuwatetea wadhalimu wa FDLR ambao hatunufaiki nao.
M23 ilishambuliwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.