Mimi raisi samia namkubali kwa kufanya reform kadhaaa.tatizo ni hli.kupanda kwa mafuta ni kitu kingine na kupandisha nauli kiholela ni kitu kinapaswa kukemewa....sasa watu wapo kimyaaa
Mimi niko mji wa Tunduma toka siku mafuta yapande yafikie 2,900 nauli huku tunalipa 1000 ya daladala kituo kwa kituo.
Hakuna mamlaka zozote zinazokemea suala hili wiki ya pili, hakuna trafik wala sumatra wanaochukua hatua. Sasa inamaana hiyo ndo bei elekezi? Waziri.
Wakuu wa wilaya na...
Ndugu wanajamii forum.mm ni mtumishi .nlikopa mkopo benk ya posta.sasa nmepata hela ya kuwalipa mkopo wao.lakini.wanagoma kutoa riba.wanataka nlipe yote.naomba mnisaidie ni sawa .au ni ujanja ujanja tu.
Sijawahi kuona raisi au IGP wakitoa salaam za rambirambi kwa watanzania waliokufa kutokana na ajali.tumekuwa tukiona ajali kadhaa zikiondoka na watu hata 30.lakin wakifa polisi wanajeshi vilio vingi.hivi hawa wengine cio raiaaa au wao vifo vyao haviwagusi viongozi.tuache unafki
Mimi daktar nasumbuliwa na vidonda kwenye ulimi,yaani ulimi umechanika vibaya.lakini s ni miaka saba sasa nimetumia dawa za kuongeza vitamini na kuua fangasi tatizo likikaribia kuisha linarudi tena.kuna AMO mmoja akaniambia huenda nna leukemia.sasa niogopa naomba msaada wako.
kwangu mimi nionavyo huku ni kukurupuka kwa waziri ndalichako na wizara nzima huwezi kumchukua mwalimu aliyesomea ualimu masomo mawili au moja umpeleke akafundishe masomo tisa .nijuavyo mm waalimu wa primary wamesomeaaaa masomo yote chuoni.sasa hyu wa sekondary labda akafundishe masomo yale yale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.