Punguza mapepe, ingia gsm arena (utube)ukaangalie review ya hiyo simu ,kwa ushauri ...siku ingine ukitaka kununua simu ,tv au kitu chochote ingia YouTube ukacheki reviews zake ili ujue ina sifa gani ,changamoto zake na uomara wake.
Habari waungwana ,asee nna Samsung A22 ambayo ni mpya ,,ila inatatizo la kutoweza kukubali line ya halotel ,line zingine zinasoma ,,line ha halotel inasoma ilaninaweka ''emergency calls only"
Asee... beginners tunaangalia ila kuna raia wanajikuta wanajua sana na wanakauli kama za kina Salima na Mwajuma ,,kama unaona mtu kaenda OP toa ufafanuzi mzuri .
Asee... beginners tunaangalia ila kuna raia wanajikuta wanajua sana na wanakauli kama za kina Salima na Mwajuma ,,kama unaona mtu kaenda OP toa ufafanuzi mzuri .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.