Recent content by combogeek

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wanyonge sasa tuna furaha, Serikali ya awamu ya tano ni ya wanyonge

    Akili zako sio timamu, Wewe una mjua shetani, Usi andike ujinga ukifikiri wote tuta support uwendawazimu, Unavyo sema Wana ishi kama mashetani wewe una yajua maisha ya shetani? Unavyo sema Wanyonge, Unajua nini maana ya mnyonge? Hebu fafanua mnyonge ni kitu gani au ni mtu wa design gani na ni...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Aluta Continua Baba, Vita Bado ina Endelea Hakuna kukata tamaa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Hayo ni Matokeo, Cha kujadili hayo matokeo ni ya Bashite? Kama bashite ana matokeo tofauti asimame nayo kifua mbele, Kama alivyo vamia clouds kifua mbele.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Clouds mna siku tatu tu za kumuomba radhi Gwajima

    Wewe naona hata huji Elewi, Anae pinga swala la Madawa hapa ni nani, Usituchanganyie Habari hapa, Swala la Madawa hujui kama tayari Sianga ndio ana mamlaka na ana pambana. Watu wana ongelea Kuvamiwa kwa clouds wewe una leta habari za madawa. Yanii kuna viumbe vina maudhi [emoji35]. Ndio maana...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    DNA Siyo Ishu, Ishu ni Bashite Kutumia cheti kisicho chake, Hiyo Video ya huyo dada na mtoto ina husu nini swala la bashite,, Huyo dada kuna mahali anasema "anataka apangishiwe nyumba, Ange ni sitiri ingekuwa siri Mbona Wengine ame wapangishia nyumba na ana somesha, na anasema kashiriki na...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Jaamanii ehh Uki enda google uki andika S0546/0016 matokeo yana kuja shule pamba Secondary Lakini hii number 0016 ina onyesha ime hitimu 2015, Huwa zina jirudia hizi number kuacha ya shule!? Link hii hapa http://tanzania.go.tz/matokeo_2015/CSEE2015/results/s0546.htm
  7. C

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Sasa Ndio tujue mpaka kwenye hiyo Degree ya Chuo cha Ushirika Moshi aliipata kwa njia Gani, Hicho ndicho Tunacho pambania Kiongozi,, kama cheti hana maanake ame foji na kama ame foji ni kosa, Na kama amekosa aadhibiwe kama Sheria inavyo sema.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Habari za Mtoto sijui nini baadae, Tunataka Bashite alete Cheti, Cheti kwanza Dadadeki. Ata aseme nini Tunataka Cheti Mengine ndio yatafata, VITA YA CHETI INA ENDELEA, BILA KUKATA TAMAA Much lov kwa wa Tz Na Wasio wa Tz Kwenye mapambano ya VITA vya CHETI. TUPAMBANE KWA NGUVU [emoji123] MOJA...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Jamani sasa Bashite Mpaka ki eleweke
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe amechoka, apumzishwe!

    Safii sana ndio maana JF ni Home of Great Thinkers. Unajua ki Ukwelii Nime waza na kuwazuka na hasira nyingi sana zikaja, nika ona ngoja nije kwa ndugu zangu wa Jf nao nawasikie ki ukweli mi naona huyo Mwakyembe jamani achunguzwe atakuwa hayupo sawa sawa, yanii haiingii Akiliniii kabisaa Eti...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kama tulimpigania Maxence Melo akawa huru sasa tupambane kwa nguvu zetu Paul Makonda ang'olewe

    Yanii kama kuna mahali watu wana Akili JF Watu wana Akili Sana, Ujue watu wana tetea ujinga yani huwa napatwa na hasira, Lakini napo kuja huku nakukuta kuna ndugu zangu wasomi wa Tz napata nguvu, Huyu Bashite Hatuwezi kumkubali mpaka Tuhuma inayo mkabili Tupate muafaka.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

    Salute sincerely nime ku elewa, Hivyo basi ni nani au ni chombo gani kinacho stahili ku deal na swala kama hili? Je Raiya kama mimi naweza kujitokeza na kutoa tuhuma?. Au ni chombo gani chenye mamlaka ya swala kama hili. Na kama kuna chombo chenye haya mamlaka ni kwanini kinakaa kimya? na kama...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

    Kwanza nime soma hoja kisha nikapitia comment zote mpaka hii current ambayo ni ya 71. Kuna watu wana tetea swala la bashite, Ujue kuna watu wa ajabu sana. Lakini nika kumbuka Tz ni third world country. Kama mtu una akili timamu una shabikia vipi swala la bashite kutokuwa na vyeti. Wa Tz wana...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Kwahiyo hayo ya juu mtu aki hoji ana roho ya malikia akihoji kuhusu bashite ana roho ya sheteni. Utakuwa na matatizo ya Akili, Mtu mwenye Akili timamu hawezi kusema wanao hoji kuhusu bashite wana roho za kishetani. Wewe ndio una Roho ya Kishetani. Utakuwa hata huelewi maana ya cheti ni nini. Au...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

    Hero ki aje Sasa
Back
Top Bottom