Recent content by comasava

  1. C

    "Wakati Usalama Unaporomoka, CCM Inabaki Kimya – Tuendelee Kuikubali?"

    Katika taifa linalodai kuwa na uhuru na amani, hali ya usalama wa raia imegeuka kuwa ndoto mbaya kwa Watanzania wengi. Matukio ya utekaji, vipigo kwa raia wasio na hatia, kufungwa kwa makanisa, na vitisho dhidi ya wapinzani wa kisiasa yameendelea kushika kasi — huku CCM, chama tawala...
  2. C

    CCM wanapambana by hooks or crooks utabiri wa sheikh Yahaya usitimie

    Hicho ndio kinachowatisha CCM...hawatakuwa submissive hata siku moja...Hawatakubali kufanya any reforms hata siku moja.. Uzi tayari
  3. C

    PreGE2025 Nilitegemea kwenye Bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani wabunge wakemee vitendo vya utekaji lakini kimya, tumekwisha!

    Leo nilitarajia kwenye wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani, wabunge wangekemea masuala mbalimbali ya utekaji na kupotea kwa baadhi ya raia, lakini sijasikia. Nani atatutetea sasa jamani? Niseme tu baaaaaasi, Tumekwisha!!
  4. C

    Kadri CCM wanavyoikandamiza CHADEMA, ndivyo wanavyozidi kuifanya CHADEMA izidi kupiga hatua na kupendwa zaidi na mioyo ya Watanzania

    Dear all.. la pace sia conte. Nimefanya utafiti na kugundua kuwa kipindi hiki Chadema kimepata uungwaji mkono mkubwa saana kutoka kwa wananchi kwa sababu ya political sympathy sambamba na baadhi ya matukio ya sintofahamu yanayojitokeza kwenye nchi yetu. Chawa kunufaika na...
  5. C

    Karia ana power hangover and arrogance. Anajiona yeye ni second to none. Ajitafakari

    Leo nimeona waandishi baadhi wa habari wakimsifia Karia kwa mafanikio yake mbalimbali ya soka ikiwemo timu yetu ya taifa kufuzu AFCON mara nyingi kuliko kipindi chochote kile.Sifa hizi ndio zinamfanya awe na kiburi na kujibu watu bila kuzingatia madhara ya kauli zake. Nashauri ajitafakari saana...
  6. C

    SoC04 Kero za nchi yetu (Tanzania) tuziondoe namna hii

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi kubwa(kwa eneo na idadi ya watu) barani Afrika.Ni nchi iliyojaliwa rasilimali nyingi na za kutosha,imejaliwa kuwa na watu wenye akili na vipaji.Aidha Tanzania ni kisiwa cha amani.Pamoja na utajiri huo ,bado nchi yetu inachangamoto lukuki.Umasikini,ukosefu...
Back
Top Bottom