Kuwa na Adabu Mkuu unapowa address waalimu, ukiachana na kwamba wengine Tumezaliwa na kulelewa na Waalimu, lakini pia wana mchango mkubwa wa kutufukisha wengi wetu hapa tulipo so kuwa na heshima kidogo
Tutashuhudia Mengi sana katika harakati hizi za Watangaza nia ya Uraisi kupitia lile Chama Kongwe na si Ajabu kuna wengine watakufa kwa pressure pindi watapokosa kile walichokitafuta usiku na mchana kwa Mabilioni ya Fedha......
Katika Siku za Karibuni limezuka kundi kubwa sana la Watangaza nia wa Nafasi ya Uraisi katika mchakato wa kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Taifa hili ambao unatarajiwa Kufanyika October Mwaka Huu.... Lakini kitu kimoja cha msingi ambacho tunapaswa kujiuliza sisi Watanzania kama Raia wa Nchi hii...
Katika za Karibuni limezuka kundi kubwa sana la Watangaza nia wa Nafasi ya Uraisi katika mchakato wa kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Taifa hili ambao unatarajiwa Kufanyika October Mwaka Huu.... Lakini kitu kimoja cha msingi ambacho tunapaswa kujiuliza sisi Watanzania kama Raia wa Nchi hii wenye...
Ama kweli Uraisi umekuwa Rahisi sana, mi naamini mpaka sasa kati ya Watangaza nia wote waliokwisha kutangaza nia, hakuna mwenye nia ya dhati ya kuiongoza nchi hii, kwa kuhakikisha anasimamia Rasilimali za nchi hii kwa Maendeleo ya Taifa na watu wake na sio kwa manufaa yake mwenyewe, Familia...
Kweli mkuu, suala zima la Kuhamasishana kutokea kwa wingi katika zoezi la Uandikishaji katika daftari la wapiga kura, pamoja na kupeana Elimu kuhusu umuhimu wa kupiga kura pamoja na umuhimu wa kujitokeza kwa wingi siku husika ya upigaji kura ni Jambola msingi sana
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, Sisi kama vijana wa Taifa hili tumejipanga Vipi kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya Kimfumo wa Uongozi katika Nchi yetu hii kwa kuwachagua viongozi wenye Uzalendo, Uchungu na nia ya Kuikwamua Tanzania katika Dimbwi la Uongozi Mbovu usiojali maslahi ya Umma wa...
Natafuta soko la asali kwa wakazi wa mikoa ya morogoro, dareslam na pwani....
Napatikana SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE....
Email:ismailerick@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.