halafu macho aliyetoa stori ya rose kwa sauti sio Martha mwaipaja ni Martha ramadhan aliyeimba wimbo wa niongezee salio. M.mwaipaja alimkandya M. Ramadhani kwa kumuuliza kuwa mbona ktk maelezo yake hakuwataja vijana waliokuwa wanashinda na Rose dodoma!! na akamtetea Nathan kuwa asingekuwa yeye...

kweli, angemwangalia yule aliyekuwa anamshuhudia kuwa alimponya ndo akaingia ukristo, hata angekutana na mashuti ya namna gani angeyapangua, maana anasema Vita si ya kwako ni ya Bwana,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.