Recent content by Collins Gerald

  1. C

    JamiiForums Tanzania proxy servers

    Mambo vp wadau nina proxy servers kwa ajili ya free internet kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kuzitumia na kuziunganisha niweze ku access net please naomba shule ya hii kitu wazee.thank you
  2. C

    JamiiForums Tanzania Window 8 product key msaada

    Thanks all ngoja nitest nikifanikiwa feedback muhimu as usual.mtu atakayehitaji aniambie nimtumie vp siwezi kuwauzia wadau.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Window 8 product key msaada

    Wadau mambo vp, Mwenye product key za window 8 msaada.nina software lakini product key zake hazifanyi kazi kama kuna mtu anazo msaada wadau.thanks in advannce.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Video converter to avi files wadau

    Hapa kwenye Aimersoft Video Converter Ultimate 4.0.1.0 (+RUS) napata hiyo error message vp mtaalamu naweza pata solution ya kupata product key na licenced email nyingine.msaada wadau
  5. C

    JamiiForums Tanzania Video converter to avi files wadau

    Likwanda, nurbert, CTO nashukuru sana wazee for your prompt response let me try those solution.nitawapa feedback
  6. C

    JamiiForums Tanzania Video converter to avi files wadau

    Mambo vp wazee msaada wa haraka jamani wa software ya Video converter mwenye nayo ambayo siyo trial nina muvi/series za ukweli sana nataka niziweke kwenye avi files.tafadhali mwenye msaada jamani.ahsante
  7. C

    JamiiForums Tanzania Precision Air versus FastJet, Nani zaidi

    Mi napenda competition kama hiz tunakaribisha makampuni mengine yaweze kuja ili usafiri wa anga uwe wa kawaida.wasi wasi wangu ni long last ya fast jet je atweza kumantain status yake hasa huduma binafsi nimesafiri sana na precision mpka nje ya nchi huduma zao ni nzuri ukiachilia mbali...
  8. C

    JamiiForums Tanzania "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    very sad
  9. C

    JamiiForums Tanzania Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

    Wazee hii si mchezo wacha tusubiri tuone uelekeo wake.ila jimbo litarudi tu hata wakitaka uchaguzi kesho.
Back
Top Bottom