Recent content by collimore

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nicheki kwa 0784 551606@Sarry86
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mh. Lukuvi angalia mambo haya

    Mkuu napata wasiwasi...kama kuna watu hawajalipwa miaka 5 sasa walipobomolewa nyumba zao kupisha upanuzi wa barabara...na kwa sasa wameanza kuweka alama x kwenye nyumba hapa kigamboni kupisha mradi wa mji mpya wa kigamboni...kweli tutalipwa?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nina sh 500,000, nahitaji simu imara!

    Nipm uchukue sumsung galaxy s5...iko bomba.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa inakuja Kigamboni

    Nimewekewa alama za kupisha ujenzi wa barabara inayotoka daraja la Kigamboni kwenye nyumba yangu. Nyumba ipo Mjimwema Maweni karibu na G 5 bar.... Mwenye kufahamu zoezi hili please atujulishe.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Ndugu Ndugai unaibu spika kachemsha ataweza u spika..
  6. C

    JamiiForums Tanzania NEC: Uteuzi wa Madiwani Wanawake Wa Viti Maalum

    Hongereni...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Aggrey Mwanri yuko wapi?

    Huyu jamaa yupo vizuri....namfahamu miaka mingi tangu tukiwa chuo cha ccm Kivukoni .
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

    Ina maana tangu 2013 uchunguzi ndio umekamilika sasa...au kwa kuwa kurukia upande mwingine....
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa haraka

    Imetumika miezi 7..
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa haraka

    Thanks wakuu nimefanikiwa...... mfudu simu ya milion moja kwa 250,000.!!!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa haraka

    Dhamana kama zipi Bulongwa...nipm no yako tuongee...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa haraka

    Nahitaji mkopo wa haraka wa 250,000 Tshs nitarudisha na riba baada ya wiki 2. Dhamana ni simu Samsung galaxy s5 yenye thamani ya 600,000 Tshs.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Chumba master kinakodishwa

    Ahaaaaa....haya bhana...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Chumba master kinakodishwa

    Vipi ipo barabarani au ndani kidogo...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Chumba master kinakodishwa

    Iko barabarani au unaingia ndani ?
Back
Top Bottom