Recent content by colinEk

  1. colinEk

    JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu mhusika (starling anaitwa james akeke

    Ulikipata mm nacho mpaka leo hii
  2. colinEk

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania wanyonge maeneo mbalimbali wampigia magoti Paul Makonda kumuomba arejee mitaani kuendelea na ziara

    Upo Tz kweli huon vijana hawana ajira kazi hakuna..Utasema wajitume kufanya kazi aya mitaji wanatoa wapi wengine tu mlo wa siku ni shida
  3. colinEk

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania wanyonge maeneo mbalimbali wampigia magoti Paul Makonda kumuomba arejee mitaani kuendelea na ziara

    Eti watanzania wanyonge mwandishi punguza uchawa mtaani hali ni mbaya sana na bado mnatuita wanyonge 😂😂
  4. colinEk

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson anastahili kuwa Rais wa Tanzania

    Umekula au ni njaa ina kusumbua
  5. colinEk

    JamiiForums Tanzania Bunge laazimia Serikali inunue ndege nyingine kwa ajili ya kuhudumia viongozi

    Eeeh Mungu nipe kinywa cha ukimya masna izi isidingo za Tanzania hapana[emoji23][emoji23] Umeme tu umewashinda mwendo kasi zmewashinda Sukari imeshinda mnawaza ndege
  6. colinEk

    JamiiForums Tanzania Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    Yaan wana msahau Mungu aisee kweli
  7. colinEk

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata Visa ya Sweden au ukanda ule kwa anaejua?

    Ulipata mwongozo
Back
Top Bottom