Recent content by colence john

  1. colence john

    Kutengeza mkanda wa Monitor

    Habari wakuu, Mimi ni fundi ninayeanza(beginner) wa vifaa mbalmbal vya umeme hususa Ni cm sasa nimekutana na changamoto wakat nafungua monitor iliyoingiliwa maji ghafla ile mikanda inayoshika kioo ikaachia nilipowasiliana na fundi mwenzang akaniambia ile mikanda inagundishwa kwa kutumia gundi...
  2. colence john

    Inductor (jifunze electronics).

    Kaka mkubwa link ya iyo app inagoma pia playsto haionekani
  3. colence john

    Kwanini watu wa dini wanaepuka mijadala ya historia ya utumwa ya mwafrika

    Unachosema Ni kweli maana hata Mimi Kuna cku nilimkutanisha mtumishi mmoja hakutaka kabisa kuhusianisha dini na historia Mimi binafsi nilijua tu Ni kwa sababu ukichimba sana dini kihistori jibu utapata Ni biashara mean historia÷dini=biashara na historia ndio huwa inafichua madudu ya dini mfano...
Back
Top Bottom