Recent content by COGNOSY

  1. COGNOSY

    TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Hata mimi sijaelewa manake nakumbuka mheshimiwa Rais alitahadharisha SUKARI ILIYOFICHWA ITAGAWIWA BURE,hii ilimaanisha iwe iliingizwa kihalali au kiharamu na hata kama imetengenezwa nchini,point ilikuwa ni SUKARI ILIYOHODHIWA.
  2. COGNOSY

    Kwanini jamii yetu inamdharau sana mwanamke?

    Usiogope mkuu,hawa jamaa watu wema sana,hawaui,wao mnyama akijipendekeza anaelekezwa kibla anachinjwa pole pole,hata ukiwaamsha usiku wanajua uelekeo wa kibla.KAMPA KAMPA TENA!!
  3. COGNOSY

    Kwanini jamii yetu inamdharau sana mwanamke?

    Kweli tupu boss! Halafu hilo dege hapo Avatar vipi?mbona dege kijani na anga kijani?tueleweshe kidogo.
  4. COGNOSY

    'Waliotumbuliwa' wajipanga,wapania kuitikisa nchi

    Sawia mkuu,umenikumbusha wale wahujumu wanaohodhi sukari walipotahadharishwa kwa manenohaya;"Nitawakomesha!!,tutaigawa sukari bure na hawataruhusiwa kufanya biashara yoyote tanzania"mwenye masikio na akili timamu na asikie.
Back
Top Bottom