Recent content by Coaster2015

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda ma handsome

    Kwa nini ?, utakuwepo kuzuia ? au unamuagiza nani ahakikishe hilo ??
  2. C

    JamiiForums Tanzania The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

    Ndio maana mimi nilikuwa nawashangaa saana mazuzu waliokuwa wanamshangilia mwendazake Sasa hivi uwanja wa ndege alioujenga bila kutumia akili kule Chato umeanza kuonekana kituko
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

    Kwanza mimi naona hawa Viongozi wetu wa dini wengi wao huwa wanafiki, Kwani walishindwa nini kuongoza Dua wenyewe mpaka wampe Masauni kisa ni Kiongozi wa serikali, Huku ni kunajisi IBADA yenyewe,, hawa viongozi wa serikali hii ya ccm wamejaa damu mikononi mwao
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

    Inategemea dua inasomwa na nani , Kama ni muuaji huyohuyo huo unakuwa ni uchuro, Wanasema Adui unaemuweza usimuachie MUNGU, shughulika nae
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

    Wamefanya sahihi kumsemea mbovu hapohapo, akitoka hapo watampata wapi ??, Ujumbe umemfikia na aliyemteua amesikia, CCM ni wauaji, CCM ni genge la wahuni
  6. C

    JamiiForums Tanzania WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

    Serikali hii ilishashindwa siku nyingi, sisi tunachosubiri ni kuona Anguko lake ambalo haliko mbali sana, na tunaomba Mungu asaidie kuiangusha hii serikali ili tuweze kupata Tumaini jema ambalo lilikuwa limekaliwa na maharamia wa ccm
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu, Wazee wengi hufa kwa njaa

    Sijui una umri gani, lakini dalili zinaonesha hujafikisha hata 35, na ujue tu, the more years goes on ndipo unaonza kuona mambo yananoga, ukifika kwenye 50th ndio utaelewa kwanini you need more years
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu, Wazee wengi hufa kwa njaa

    Wanchoweza wao ni kuongeza marupurupu ya Viongozi, Kuingiza First lady kwenye orodha ya viongozi wa serikali wanaotakiwa kulipwa stahiki kama rais
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu, Wazee wengi hufa kwa njaa

    Unajidanganya sana, Wakinamama ni wanafiki wakubwa, hata kama usipokuwa na familia nyingine yaani ukakaa nao siku zote na ukakamilisha kila kitu kwao bado wanaweza kukutengenezea chuki na watoto, Na watoto walivyo wajinga huwa wanakubali kulishwa sumu na mama zao na kukuchukia baba yao, Nasema...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu, Wazee wengi hufa kwa njaa

    Hapo mimi sijakuelewa kabisa, Unaposema hawamjali na wakati na wewe ni Babu yako ina maana wewe umesimama wapi ?, si ndio kujitenga kwenyewe huko ? ukute na wenzako nao wnakulaumu wewe pembeni
  11. C

    JamiiForums Tanzania Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    Hapa tukumbushane, 2017 imeshapita na miaka 7 juu yake, Dubai Vs Bukoba
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakushauri Dada yangu Usiolewe na Mwanaume anayependa Gari/Magari haya.Utajuta

    Wako huku njoo
  13. C

    JamiiForums Tanzania Miliki gari kupitia sisi kwa nusu bei

    Nahitaji Premio X, ikipatikana rangi nyeusi itafaa, lakini pia hata blue bahari au Pearl Nipe maelekezo
Back
Top Bottom