Recent content by COARTEM

  1. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Mangungu ni pandikizi la Yanga ndani ya Simba, shtukeni

    Huwezi elewa mtaalamu... MATENDO ya MANGUNGU yanajieleza WAZI. MANGUNGU ni mwana yanga kindakindaki, pale kachomekwa kulinda maslahi ya Yanga.
  2. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Mangungu ni pandikizi la Yanga ndani ya Simba, shtukeni

    Wote wanaomtetea MANGUNGU ni MAPANDIKIZI ya YANGA hivyo wala sishangai
  3. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Mangungu ni pandikizi la Yanga ndani ya Simba, shtukeni

    Wanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi. Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu. Mangungu kachomekwa awe mwwnyekiti wa Simba ili alinde maslahi ya Yanga. Kuna mchezo mchsfu ulipangwa hadi na...
  4. COARTEM

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Iddi Chaurembo: Wawazao kura zetu kuzipoteza, wape upofu kamili

    Aliyekaribu na huyu Sheikh amshuri awahi MUHIMBILI akakutane na Madaktafi Bingwa wa Kinywa na Meno eneo la Upasuaji (MAXILLOFACIAL SURGEONS) wakamfanyie UPASUAJI kumuondoa huo UVIMBE kwenye TEZI KUU LA MATE upande wa shavu lake la kushoto. Ugo jwa huo unaitwa PLEOMORPHIC ADENOMA. Dude hilo...
  5. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Dawa ya meno yenye ubora wa kukinga meno yako kuoza ni yenye madini ya fluoride ya kiwango cha 1450-1500ppm kwa watu wazima na 1000ppm kwa watoto

    Kabisa unashindwa kuelewa tofauti ya maji na dawa ya meno kwenye matumizi? Maji unakunywa na kupikia. Dawa ya meno haunywi, unatumia kuswakia na kisha unatema povu lote Bado tu unataka niendelee kuandika?
  6. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Dawa ya meno yenye ubora wa kukinga meno yako kuoza ni yenye madini ya fluoride ya kiwango cha 1450-1500ppm kwa watu wazima na 1000ppm kwa watoto

    Tunazungumzia Dawa za Meno wewe unaleta habari za WATER FLUORIDATION. Jifunze kutenganisha mada. Pia kama Trump akikwambia msagane wewe utaenda kusagana kisa Trump kasema?😁
  7. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Dawa ya meno yenye ubora wa kukinga meno yako kuoza ni yenye madini ya fluoride ya kiwango cha 1450-1500ppm kwa watu wazima na 1000ppm kwa watoto

    Majimbo yaliyositisha Fluoride KIWANGO CHA WATU KUOZA MENO KIMEANZA KUPANDA KWA KIWANGO KIKUBWA SANA
  8. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Dawa ya jino bovu siyo Kungoa

    Post hapo juu imeeleza kila kitu...soma na hicho kipeperushi cha WIZARA YA AFYA
  9. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Dawa ya meno yenye ubora wa kukinga meno yako kuoza ni yenye madini ya fluoride ya kiwango cha 1450-1500ppm kwa watu wazima na 1000ppm kwa watoto

    Unapokwenda dukani kununua dawa ya meno ya kampuni yoyote ile hakikisha ina kiwango cha ubora huo wa madini ya fluoride 1450-1500ppm kwa watu wazima na 1000ppm kwa watoto. Viwango hivi vya ubora vimepitishwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) pamoja na Wizara ya Afya Tanzania. Ukitumia...
  10. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Dawa ya jino bovu siyo Kungoa

    Kadi yako ya NHIF inakuwezesha kupata matibabu hayo yote
  11. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Dawa ya jino bovu siyo Kungoa

    Wizara ya Afya imetoa maelekezo ya njia bora ya kutibu jino lililotoboka/kuoza badala ya kukimbilia kuling'oa. Jambo linalowafanya watu wengi wakimbilie kung'oa jino ni maumivu makali waliyoyapata kutoka kwenye jino lililooza au kutoboka. Zipo njia mbalimbali zitakazokusaidia kufanya jino lako...
Back
Top Bottom