Recent content by co founder

  1. C

    JamiiForums Tanzania Vesi Kali za Hip Hop Bongo

    Moment of truth-Gang Starr, MC's act like they don't know-KRS One, Who shot ya, The Notorious BIG, Duel of the Iron mic-GZA, Inspectah Deck Mastah Killer, All critics in New York-West Side Connection, Only God can judge me -2Pac, just a moment -Nas, What - The Notorious BIG ft Method Man. Jeeps...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ni kwa sababu gani BRICS inavutia sana Dunia ya Kusini?

    BRICS imevutia nchi nyingi zinazoendelea kwasababu ni soko kubwa na lenye usalama pia ni kimbilio kwa nchi ambazo sauti zao zinapuuzwa na UN
  3. C

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Chakufanya Iran ahakikishe kwanza amejidhatiti kwa mifumo ya ulinzi wa anga katika maneno yote sensitive, cha pili afanye utafiti wa kina kwamba ni aina gani ya makombora ambayo hayawezi kuzuiwa na mifumo ya ulinzi ya adui pia afahamu kwamba kadiri kombora linavyosafiri kwa umbali mrefu ndivyo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Rais Venezuela tafrani, upinzani washinda, matokeo hayatangazwi

    Labda sio mfuatiliaji mzuri Russia, China wapo
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaipa meno Hizbullah. Zasema kuanzia sasa si kundi la kigaidi tena

    Mgogoro kati ya Israel na Hezbollah ni tofauti na Hammas kwasababu Gaza ni eneo gumu kufikisha misaada kwani imezungukwa kijeshi na Israel lakini Lebanon inafikika kirahisi kutoka sehemu mbalimbali kwahiyo misaada ya silaha na wapiganaji itawafikia Hezbollah kiiurahisi tofauti na Hammas. Na...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kenya na Rwanda kujiunga jumuiya ya NATO

    Inaonekana kuna shinikizo kwa hizi nchi ndogo kiuchumi kulazimishwa kuchagua upande kwahiyo huwezi kuwa salama Kama hauko kati hizi pande mbili. Ni aidha uwe na Usa na NATO au uwe Mashariki kwa maana ya BRICS+,STO n.k
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Ruto anawaunga mkono M23?

    Nikiwatazama majirani zetu Kasi ambayo wanaenda nayo na ukaribu walionao na Us kijeshi kwa Sasa lazima na sisi tuimarishe Capability ya TPDF katika Kila nyanja ikiwemo kiteknolojia. Na pia tushirikiane na super powers Kama china na Russia ili tuweze kubalansi nguvu za kijeshi katika ukanda...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ireland, Spain and Norway leo hii wameanza kutambua state ya Palestine kama nchi kamili

    Wanaaema Amani ya kudumu mashariki ya kati, Inahitaji kwanza uwepo wa taifa la Palestine Kutambuliwa kwa taifa la Palestine ni hatua nzuri kuelekea kupata amani mashariki ya kati
  9. C

    JamiiForums Tanzania Lithuania yajuta kuchokoza China katika suala la Taiwan

    China ni mshirika mzuri wa kibiashara ambaye ukimpoteza huwezi kupata mbadala wake hasa kutokana pia na sera zake za mambo ya nje kuwa rafiki kwa nchi washirika. Na kwa hili limeifanya China kuaminika na kumtofautisha na magharibi
  10. C

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Arusha haitaki viongozi wapole kwa sababu wakazi wake wamechangamka inahitaji viongozi wenye uthubutu.
Back
Top Bottom