TAFSIRI YA NDOTO UNAZOOTA KILA SIKU ULALAPO
1. Kuota Unakunywa maji machafu(Ni ishara ya kupewa sumu katika ulimwengu wa roho na kuondoa moto wa Roho Mtakatifu)
2. Kuota unakoroma na unalia kwa uchungu(Ni Ishara kuwa adui anapanda mateso juu yako)
3. Kuota unakula vyakula usiku (Ni Ishara...
Namfaham vizuri uyu mzee bomani alikua jirani yetu kule kinyerezi nmeumia Sana Alikua mzee mstaarabu Sana na asiye na makuu naiona familia yake ilivoumizwa na msiba huu
R. I. P mzee Bomani you will always be remembered [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Ayo mengi ni makanisa ya kilokole ya manabii wa kisasa ambapo wadada Wengi wakiwa na ham ya kuolewa hukimbilia huko na kujifanya watakatifu Ingia makanisa yanayojulikama Tangu enzi na enzi na mwanamke anaelipenda na kulijua kanisa na ana hofu ya Mungu utamjua tu kuwa makini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.