Recent content by cnx

  1. cnx

    DOKEZO Walioitwa kwenye mafunzo Zimamoto, siyo wale walioitwa kwenye usahili

    Ingekua poa sana kama JamiiForums wangeli ongelea hili katika platform mbali mbali maana vijana walio umia ni wengi sana. Harafu haya mambo yanafanyika na ushahidi wanaacha nje nje kabisa inamaanisha hawamuogopi mtu yoyote. Naikiwezekana zimamoto watueleze ili tuache kua tunaomba kazi zao...
  2. cnx

    DOKEZO Walioitwa kwenye mafunzo Zimamoto, siyo wale walioitwa kwenye usahili

    Hii inaumiza sana mtu anachoma nauli ambayo ungefanyia mambo mangine kwendeshea maisha. Huko kwenye usahili kwenyewe mnakalishwa siku nzima mnakosa hata mda wa kwenda kula.
  3. cnx

    DOKEZO Walioitwa kwenye mafunzo Zimamoto, siyo wale walioitwa kwenye usahili

    Hili ni swali linalohitaji ufafanuzi: kwa nini vijana waliyoitwa kwenye usaili wa Zimamoto kuanzia tarehe 15 Disemba 2025 hadi tarehe 20 Disemba 2025 hawakupata nafasi ya kwenda kwenye mafunzo, ilhali baadhi ya waliokuwa hawakuitwa kwenye usaili wamepata nafasi hiyo? Mtu anajituma na kusafiri...
Back
Top Bottom