napata shida kidogo pale ambapo mauaji yanapohusishwa na uchaguzi, na kuhusisha moja kwa moja na upinzani, inabidi tunapotoa mada tuwe na uhakika na tusidhanidhani tu kwani tutajikuta tunapoteza muelekeo.
ndugu mimi bado natofautiana na wewe jinsi ya kutatua haya matatizo yanayoletwa na mafisadi, kuwaua sio jibu bali tulitakiwa kuwatoa madarakani na kuwapa wale ambao tuhisi wanatufaa ili waone mabadiliko, wajifinze. mwisho wa siku ukisema sisiem wote wauawe bado hao tunaodhani wanafaa watajisahau...
Jamaniee! hebu tuwe wakweli, tumekua tukilaani watu kutolewa kucha na meno bila ganzi huko mabwepande, pia tume laani kauli za mtoto wa mkulima za "apigwe tu" nilidhani watanzania tunakemea maovu yote bila kujali nani katenda au katendewa! hili nalo linahitaji kukemewa kwa sio jambo jema, mimi...
tofauti ya big brother na kigodoro ni kuwa big brother wanaongea kingereza na kufanya matangazo ya biashara na mshindi anapewa dollar za kutosha(wote wanakesi ya kujibu mbele ya mungu)
upande wa gongo na pombe zinazotangazwa ni kuwa gongo hawalipi kodi ila pombe nyingine wanalipa kodi hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.