Habari,
Wana jamvi hivi nikweli kuna mvinyo (wine)ambazo hazina kilevi kabisa kama unazijua zitaje.Maana kuna mtu aliniambia zipo nikamgomea Ahsanteni.
Aiseee Khamis alikuwa shemeji angu duuuuh kiukweli tulikuwa tukimwambia sana juu ya mwendo ona sasa dada angu kabaki mjane ila yote kwa yote marehemu hasemwi vibaya.
Kabisa tuache mihemko na tuchanganue mambo kwa kina sema hapa watu wanaweza kuchambua kutokana na miongo ya udini lakini ile video ukiitazama inautata kabisa.
Iko hivi pale unaposajili account yako lazima zile task unazofanya kwa siku ziingie kwenye account yako ndiyo hiyo wallet halafu kikifika kiwango walichoweka minimum kutoa ndio unatoka kwenda mitandao ya simu mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.