Recent content by cliff clx

  1. cliff clx

    Wapendwa,habari za mchana

    Kazi nzuri
  2. cliff clx

    Ndugu zangu Wakiristo semeni ukweli kama Yesu ni Mungu imekuaje amekufa kwa kuangikwa msalabani? Alipokufa nani alikuwa Mungu? Nani aliyemfufu?

    Fwatilia mambo ndio uje na hoja mezani, sio kudakia dakia mambo juu. Am christian , siamini juu ya mtume and blaah blaah kama hizo ila sitofanya kosa la kuhoji kwanini Kila kitu Muslim wanafanya backed from mtume's life style kwasabu sina taarifa za kutosha kuhusu ilo. So ilikuw busara zaidi...
  3. cliff clx

    Msaada wa kupambana na uraibu wa kujichua kupita kiasi

    Kwanza kubali na kuwa tayari kuacha..epuka kukaa mwenyew always tafuta company Kwa wadau, usitumie muda mrefu ukiwa chooni au bafuni hasa bafuni sometimes usivue nguo zote oga na boxer mwishowe fua boxer ukizingatia kutokaa muda mrefu bafuni, Mwisho na ndo njia pekee ikikushinda na hii Kila la...
  4. cliff clx

    Kuna muda hoja ya kujivunia kua muislam au mkristo haina mantiki yoyote

    Nilisikia pia kuwa muislam hawezi au si ruksa kutumia chombo ambacho kilitumika na mtu mwingine kula kitimoto, je ni kweli ?
  5. cliff clx

    Kuna muda hoja ya kujivunia kua muislam au mkristo haina mantiki yoyote

    Ni upuuzi tu! Hasa Muslim sijui huwa wanajikuta kina nani?! Mgonjwa wa kisukari anachomwa insulin ambayo totally imetengenezwa na kitimoto.. asa Kwa uhatari wa ugonjwa wa kisukari sidhani kama Kuna sheikh angepona au kupata hata nafuu. Kisukari hakichagui hakibagui. Am out
Back
Top Bottom