Recent content by cleopatra akida

  1. C

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali imewaaminisha wananchi wizi kuwa halali katika mambo yafuatayo

    Kwa hiyo mliataka nani agharamia? au ndio pesa za msaada?....kwani nani kaibiwa?...hizo huduma hao wanatoa hawalipwi mishahara na increment jee zitatoka wapi? Toeni Utopolo hapa.
  2. C

    JamiiForums Tanzania CCM imejifunika kichwa ili macho yasione wasiyotaka kuyaona

    Kama ni matamasha ya mziki wee kinakuuma nini?? Na nyinyi tafuteni wasanii muwaweke... watanzania hawahitaji kusikia sera za ccm maana wameziona ndio maana tunasema mitano TENA nyie wengine ndio mtangaze sera zenu CCM OYEEE
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanapinga miradi ya Awamu ya Tano na kuwalisha sumu watu kwamba haina maana

    Hii sera ya majimbo ipo kwa ajili ya watu wa nyanda za juu kaskazini...wanataka maendeleo wapate wao tuu maana wao ndio wanaongoza katika sekta ya utalii.....halafu huyo anayesema hataki maendeleo ya vitu yeye huko ulaya alipokuwa anaishi alikuwa anaishi kwenye nyumba ya udongo? au alikuwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alipoamua kuwarusha kwa Reggae baada ya hotuba

    Anamuiga mkuu wa nchi ameshafeli
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Dkt. Magufuli arejea Makao Makuu ya nchi Dodoma, aserebuka wimbo wa Zuchu mbele ya wananchi

    Namuuona rais alivyo relux siyo kama wagombea wengine wamenuna kama wamelazimishwa kugombea
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nilichokisikia kwenye Press ya leo pale Ufipa nimekata tamaa sana

    Si mmesema lissu atashinda subirini mtakuja na tume yenu.....siku nyingine wasaidieni wagombea wenu kurudisha form
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msajili asaidiwe asiinajisi Ofisi ya Umma. CCM + TLP, CHADEMA + ACT hawajavunja Sheria

    Kwa hiyo unamfunfisha jaji kuhusu sheria waliyoitunga mmeshasema lissu atashinda kwanini mnataka kuungwa mkono na act au hamjiamini
  8. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM si tulisema Magu hahitaji kampeni 2020? Chopa ya nini?

    Tunasherekea mafanikio ya uchumi wa kati
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

    Endeleani kuota
  10. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Rais Magufuli kuwaahidi nafasi za uteuzi akina Andrew Chenge, siyo kutonesha kidonda kwa mamilioni ya vijana wasiokuwa na Ajira?

    Sasa ulitaka nani ahaidi ni kweli hata iweje magufuli ndio rais ajaye ana haki ya kuahidi hata asipopata wataelewa
Back
Top Bottom