Recent content by Clementine01

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nimeona viumbe vya ajabu wakati napiga picha

    Mtatoana roho kujadili upigwaji wa picha mkaacha mada yenyewe.Mi naona virui rui tu hapo labda ni aina mpya ya samaki wa angani.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nimeona viumbe vya ajabu wakati napiga picha

    Nimetupilia mbali pingamizi,inaonekana mleta pingamizi ni mchochezi kiwango cha sgr
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    kwa siku ngapi au miezi mingapi?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Naomba ufafanuzi hii unatumiaje na kwa muda gani hasa?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayeweza kuwekeza kwa mtaji wa milioni 50 na kupata faida ya hadi milioni 70

    Nipo hapa kusoma coment tu ndugu yangu,sina hiyo mil 50 wala nini.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

    Kama hujui haya mambo bora ukauliza,hii sio demo ni real,dola mia sio hela nyingi sana usiogope.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

    Ila inawezekana sana kumake laki mbili ukiwa na $10,000 kwenye akaunti daily bila pressure. Ngoja mi nionyeshe hapa akaunti hii ya dola mia nimeiweka kwenye cent akaunti inayoonyesha $10,000 kama inavyoonekana hapo chini. Ntaleta mrejesho baada ya miezi mitatu alafu uwekeze na mimi mkuu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

    🚮
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jeff Bezos arudi kwenye nafasi yake, Elon Musk Apoteza $14bn kwa siku moja

    Nakuelewa sana ndugu yangu,hayo mambo ni hatari na nusu psychology ndo tatizo hapo plus money management.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

    Njombe
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

    Kuna kijiji nimeshau jina cha ludewa mwaka jana tu kuna mama alimtokosa mwanae na kumla live live,acha ubishi.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

    Bila shaka we we sio mkazi wala hujawai kukaa Ludewa,nenda pale kijijini wilayani muulizie huyo mzee bado yupo nadhani mcheki hapa
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jeff Bezos arudi kwenye nafasi yake, Elon Musk Apoteza $14bn kwa siku moja

    Utajiri was kina Ontario huu,Leo una dola 30,000 mwezi ujao umepanga chumba cha elfu arobaini buza,kituko.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

    Wenyewe hawakai,wakienda Dar hawarudi.
Back
Top Bottom