Recent content by Claud01

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni kubwa sana hii ngoja nibeti Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukrani kwa aliyenitumia mtaji simfahamu lakini ameonesha utu Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu habari za majukumu naomba msaada wa stake japo mia 0783999202 Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Espanyol aisee amepindua treni Ila mapambano tuendelee
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Gongo la mboto wiki iliyopita jamaa anaitwa tete kala milioni mia nane
  6. C

    JamiiForums Tanzania UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

    Naomba kujua utaratibu wa kujiunga ukoje chief Utt amis kwa ninavyoona Mimi Ni chaguo sahihi imagine Kila mwezi unapata hata Kama Ni elfu kumi ambayo iko secured na pia primary investment iko safe utajiri hauji kwa siku moja na Ni tabia pia ukiwaza Sana kuipata hela kwa pamoja kwa haraka ujue...
  7. C

    JamiiForums Tanzania UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

    Na bado million kumi yako ipo unakua hujapata hasara
  8. C

    JamiiForums Tanzania Superblack gani inafaa kupaka kwenye ndevu?

    Tafuta beard care products beard oil utajionea matokeo
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Hii Bei gani mkuu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nauza pochi za kike

    Nauza pochi za kike, Bei 25000 Niko gongo la mboto Dar es Salaam. 0679586532 au 0758636908
  11. C

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Naomba msaada waungwana sehemu wanapouza kwa jumla haya mazulia ya mlangoni
  12. C

    JamiiForums Tanzania Team Buying(Group Buying)

    Samahani mkuu nje ya madakama hutojali naomba msaada wa kujua wapi nitapata kwa Bei ya jumla mazulia ya kufutia miguu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Bei ya jumla ya bracelet kwa anaejua msaada tafadhali

    Sehemu gani mkuu naweza kuzipata
  14. C

    JamiiForums Tanzania Bei ya jumla ya bracelet kwa anaejua msaada tafadhali

    Kama hizi zilizoko kwenye picha
  15. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sandals imara

    Pata sandals original ngozi kwa mawasiliano nitafute kwa 0758636009
Back
Top Bottom