Recent content by classic hero

  1. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba na Lissu wakosoa uteuzi wa Prof. Muhongo

    Lissu ameshasahau alitembea na Edo nchi nzima....mbona wanasahau haraka hivi...au kasi ya HAPA KAZI TUU imewafanya wasahau ka alikua kwenye uchaguzi mkuu mwezi au miezi miwili iliyopita....??
  2. C

    JamiiForums Tanzania Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

    mara mziki wako ni mkubwa kuliko tuzo...leo limeibuka jingine..pesa imetumika...dah
  3. C

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    kuna tweet ya diamond kaandika saa kumi dak 40..kaandika na tarehe..my guess..yaweza kua kapata kid
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shilole akutana na Rungu la BASATA, Afungiwa mwaka mmoja kujishughulisha na shughuli za sanaa

    Shilole kipindi anaanza show aliingia uchi...???au ni baada ya kuanza kuruka ruka ndo kwa bahati mbaya nguo ikazingua...?
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shilole akutana na Rungu la BASATA, Afungiwa mwaka mmoja kujishughulisha na shughuli za sanaa

    duu...sasa nuhu itakuaje!!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Natamani msela aendelee kupiga kazi za maana...ili next year tuwe nominated BET afu tuichukue ile tuzo...naitamani sana bet...hii wish naamini itakamilika tuu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

    bado kapata kura 90??
  8. C

    JamiiForums Tanzania Navy Kenzo: Game ft. Vanessa Mdee

    hahaa...nahreel kwenye beat huwahafanyi kosa...classic song..classic video..
  9. C

    JamiiForums Tanzania D'banj amlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya nae collable

    naona kuna watu hawawezi sogea hapa...haha!!na waombe sana jamaa asipate hasira..maana diamond akiwa na hasira...kitu kitachofata hapo...sijui tuu!!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

    natamani diamond akasirishwe..maana akiwa na hasira anafanya kitu kikubwa zaidi
  11. C

    JamiiForums Tanzania Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

    hivi diamond akifanya collabo napo ishakua tatizo..!!aisee..chuki nyingine hizi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

    haha...nyie mkakoment kwenye hiyo category moja hiyo...sio mbaya...maana hamna sehemu ingine ya kwenda kukoment
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    afu kweli..kuna tuzo ka nne hapo naziona ni mteremko...mbili zinahitaji kupigiwa kura
  14. C

    JamiiForums Tanzania Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

    kwa best male east..eddy kenzo ile bet inaeza mbeba...though anything can happen..
  15. C

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    dah...sasa hizi zoote..kazi kweli kweli na bado kuna za uganda na zile za nigeria...eeeh
Back
Top Bottom