Recent content by Classic 1

  1. C

    Kama Unayo Laptop Hii - Dell Latitude 3190 Touchscreen

    Kama unayo Dell Latitude 3190 Touchscreen nipigie tufanye biashara Mashariti: 1. Laptop iwe katika hali nzuri, kama ni mbovu usinipigie tafadhali 2. Uwe Dar es salaam 3. Bei isizidi 280K If you're ready call... Piga: 0658 700 510 na tuma picha kwa WhatsApp kupitia hiyohiyo number . Karibuni!
  2. C

    Natafuta nyumba ya kununua iliyokamilika

    Umepata, pitia hii thread/post https://www.jamiiforums.com/threads/house-for-sale-kibaha-cbd.2094449/#post-50628075
  3. C

    House4Sale House For Sale - Kibaha CBD

    May you recommend some of them?
  4. C

    What is Tarot? Let's Explore!

    Thanks for the feedback, you are on the right path to enlightenment. Let us keep on sharing.
  5. C

    What is Tarot? Let's Explore!

    "To change your life first change your picture." That is the essence of learning tarot. You may ask what is tarot? A tarot It is collection of pictures that gives meaning or states of our lives. So, by interpreting these pictures/ cards can help to learn the "hidden meanings" of our lives -...
  6. C

    Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

    Umeongea vema. Halafu sijui mods wako wapi na kwanini wanawaacha hawa watu wanaoleta mizaha kwenye kila jambo. Hili sio jukwaa la cheap jokes.
  7. C

    Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

    Be open minded. False knowledge is more dangerous than ignorance.
  8. C

    Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

    Umejibu vema, yeye badala ya kujifunza kwa wengine anajifanya mjuaji.
  9. C

    Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

    Kariakoo ndio sehemu sahihi.
  10. C

    Wafanyabiashara wa simu stock zao wanatoa wapi?

    Inategemeana, unataka used or new? Kama ni new agiza kutoka China. Kama ni used agiza Dubai. Kingine unataka brand gani?
  11. C

    Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kwa hiyo kiuchumi Zambia ipo juu yetu!? Au Kule Zambia wanaishi wazungu tuu?
  12. C

    Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Starlink internet yenye kasi sasa imekuwa approved rasmi na serikali ya Zambia. Huku kwetu....!?
  13. C

    Angalia picha ya Dunia ukiwa Sayari ya Mars

    Hakuna uongo hapo, tatizo unatumia reasoning pekee ambayo ni weak part ktk human mind. Haya Mambo yanahitaji jicho la ziada kuamini. Binafsi naamini.
Back
Top Bottom