Recent content by CLARK

  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais J. Kikwete na siri nzito ya taifa hili kujulikana 2014

    J k anasiri nzito za kumfunga Nguza au? Hana jipya uwezo wake n mdogo toka anasoma, alivyoingia madarakan mchele ulkua 1000 sa hv n 2500 sasa ana siri gan ya kufanya mchele urudi kuwa 1000? Achen kuwafanya TZ kama watoto.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

    Nenda kajinyonge sasa, maana jimbo ndo limechukuliwa na wapganaj.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mnafiki Sitta (SIX) ameumbuka Kirumba, na mnafiki Kilango kaumbuka Kiwira

    Hawana jipya hao, kazi kwao na 2015.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndiyo kimbilio letu Watanzania kuelekea kwenye mafanikio

    Mwl Nyerere si alimkataaga huyu? watanzania wanataka mabadiliko.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wanaofaa kuwania urais 2015 kwa ticket ya CCM hawa hapa

    CCM hakuna msafi wa kutuongoza wa tz, sera yao ni ileile ya kulindana.
  6. C

    JamiiForums Tanzania CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Nchi ilishapotea siku nyingi hii! vijana tunakazi kubwa ya kuikomboa hii nchi.
Back
Top Bottom