Recent content by claritous

  1. C

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    usipende kuhukumu ktk jambo ambalo ushahidi huna, if u were in my shoes ungenielewa ila haupo.
  2. C

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    ukweli naujua mimi na Mungu wangu hata nikijieleza page 3 haitasaidia.
  3. C

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    hahaha watu km nyie ktk maisha mpo sishangai, salome sichwale
  4. C

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    kejeli ipi sikusomi madukwappa kwanza cna kawaida ya ku comment humu jf
  5. C

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    mi naamini km umefunga mlango mmoja mingine mingi tu Mungu atafungua.
  6. C

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    nichukuliwe kwa sababu zipi labda maana simfahamu mtu upo hapo, mi ndo nilifanya interview najua nilijibu vp maswali, sawa nguvu? hata km wapo waliobebwa lakini na walopata kwa haki pia tupo.
  7. C

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    ningekuwa na uwezo ningemfata huyo katibu mkuu anipatie ajira kwa sasa, mmh.
  8. C

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    jina langu la nini watu8 , sina sababu ya kudanganya maana hainisaidii, but simjui mtu uhamiaji, lakini nilifanya interview na kuitwa ajiran.
  9. C

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    dah si haki kwa sisi watoto wa wakulima ambao tumepata kwa haki na kuacha ajira tukisubir kuripot kazini, dah haya mambo sikia tu yasikukute.
  10. C

    AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    wangefanyia kazi majina yalotajwa maana kuna wengine wachache ambao walipita kihaki
  11. C

    Uhamiaji wamejibu koplo na konstebo

    mimi sijahonga jina langu lilikuwepo kwenye usahili ila mi nahisi inategemea na interview ilikuaje upande wako maana kila tarehe na maswali yake, ni bahati tu na kumshukuru Mungu.
  12. C

    Uhamiaji wamejibu koplo na konstebo

    dah ni kweli namshukuru Mungu na mi nimo.
Back
Top Bottom