Sijakuelewa! umesema FIFA au CAS watahitaji kuchunguza kwanza ili watoe uamuzi......😳!
1. Kwani kuna taarifa yoyote au barua ambayo wamepelekewa mpk ss?
2. Ni muda gani FIFA au CAS huwachukua mpk kuanza kulifanyia kazi shauri lililopelekwa mezani kwao?
Nachofaham mimi, hili jambo linaisha leo leo na panatulia! mechi itapangwa siku nyingine na itachezwa tu..
Rejea ile mwaka 2021 May 8, Yanga waligoma kucheza baada ya mabadiliko ya muda wa mechi na Simba, na wakadai hawatacheza tena..
Lakini ilipotajwa tarehe nyingine walicheza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.