Recent content by ckmtoro

  1. C

    Sekretarieti ya Ajira Usaili ufanyike kikanda.

    Naam hatimaye nimeeleweka
  2. C

    Sekretarieti ya Ajira Usaili ufanyike kikanda.

    Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma kwa kweli imekuwa haitendei haki hasa kwa wahitimu na vijana wote wasakao ajira,hususani watokao mikoani kwani usaili wote ufanyikia dar i.e usaili wa mchujo,vitendo na usaili wa mahojiano na mara nyingi full usail uchukua mpaka siku tatu au nne...
  3. C

    Tano bora ya wateule wa Rais waliofanya vizuri 2018

    Huwez kuwa mfatiliaji kama sio shabik ... Au unamaanisha mkereketwa [emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Tano bora ya wateule wa Rais waliofanya vizuri 2018

    1.Kassim Majaliwa . Hakika Waziri Mkuu anastahili pongezi zisizozidi kifani ni kiongozi mstaarabu mwenye weredi na mpambanaji. Amefanya na amesimamia objective na responsibilities zake ipasavyo 2.Rogers Sianga Huyu ni kamishna wa mamlaka wa kupambana na dawa za kulevya nchini. Amefanya kazi...
  5. C

    Biashara ya ng'ombe wa nyama

    Hello members, Nipo mkoani nina deal ya kuanza kurangua ng'ombe then nipeleke dar kwa aim ya kuwauza. Wenye kujua changamoto zake pls naomba kujuzwa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom