Recent content by cjui mimi

  1. cjui mimi

    Natafuta starlet iliyotembea chini ya km 100,000

    mh! cjui kama utaipata kwa ndani ya nchi labda uagize, coz nnayotumia Mimi imeingia bongo na km 90 elf na ushee ukikosa nicheck nkupe ya kwangu ina mia 38
  2. cjui mimi

    Kingamuzi kinahitajika.

    Habari wadau kwa mwenye kingamuz cha aina yeyote ambae anauza kwa zile bei zetu za kijasiria mali p'lse naomba aniPM. nawasilisha
  3. cjui mimi

    Mitsubishi pajero

    Una pajero gani ww? Zipo kama type nne nnazozijua mm ila mm nina experience na GDI hizi i10
  4. cjui mimi

    Natafuta galax s3 au sII

    Hamna mteja hapa ana laki 2 anataka s2 au s3
  5. cjui mimi

    njoo uchukue bei chee

    Unapata bajaj
  6. cjui mimi

    njoo uchukue bei chee

    stalet carat limited kwa m6 pm if ur interested
  7. cjui mimi

    Samsung galaxy s2 infuse

    Mzigo bad upo jmn
  8. cjui mimi

    Samsung galaxy s2 infuse

    We unajua hii kitu ikoje
  9. cjui mimi

    Samsung galaxy s2 infuse

    ni kweli kiongoz mi nimeagiza xperia U ndo maana nauza hii kinyume na hapo wala nsingefikiria kuuza
  10. cjui mimi

    Samsung galaxy s2 infuse

    haiuzwi ka hyo bei
  11. cjui mimi

    Samsung galaxy s2 infuse

    nauza simu yangu tajwa hapo juu kwa shilingi laki 4 tu nimeitumia kwa wiki tatu ni ya at&t
  12. cjui mimi

    Gari ndogo Toyota Inauzwa

    bado cjapanda dar kiongoz nkija ntakuafuta
  13. cjui mimi

    Nauza Toyota Rav4 milango mitano - 7milion

    mkuu mbona hujibu inbox
  14. cjui mimi

    Nauza Toyota Rav4 milango mitano - 7milion

    na mm nimrpanda 5.5 mkuu
Back
Top Bottom