Mimi niko nafanya mishe zangu huku Burundi, ni nchi ambayo kwa sasa inategemea kila kitu kutoka Tanzania. Tunafanya biashara kubwa sana nao, ndio nchi pekee niliyofika na kuona mtanzania unaheshimika sana kuzudi hata watu wa magharibi. Nikienda popote pale nikisema mimi ni mtanzania, sisumbuliwi...
Achana na haya mambo. Nani alikuambia huyo binti atakuwa mchumba wako pekee yako? Wala usijisikie vibaya kuachana nae na kutafuta demu mwingine.
Tena usiwe na demu mmoja tena. Tafuta watatu au wanne na wawe pisi kali haswa. Akizingua mmoja una wengine watatu wametulia ,ndivyo maisha yanaenda...
Engineering geology in kozi ya geology ambayo lengo lake kuu ni kusaidia kutafsiri geology kwa ajili ya shughuli za ujenzi , uchimbaji madini( Open pits na underground mining) hapa tunaangalia (uimara wa kuta za migodi), kuangalia madhara ya majanga kama matetemeko ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.